RSS

Grammar Exercises (Greetings)

Jaza nafasi zilizowazi kwa kutumia wingi. (Fill in the blanks with plural forms)

Umoja / Singular Wingi / Plural

Greetings

Sijambo hatujambo
hujambo? _________________
hajambo? _________________
shikamoo! _________________

adverbs

asante! ___________________
karibu! ___________________

Nouns

mzazi ___________________
bibi ___________________
habari ___________________
shule ___________________
somo ___________________

expression

kwerini! __________________

Advertisements
 
Leave a comment

Posted by on July 8, 2013 in Swahili Quiz

 

Tense / Nyakati

 
Leave a comment

Posted by on July 1, 2013 in Swahili Classes

 

The days of the week

 
Leave a comment

Posted by on June 30, 2013 in Swahili Classes

 

People, Places, Nationalities + The Question Where?

Watu, Sehemu, Utaifa & Swali la Wapi?

Kumbuka

Swali

Nani? = Mtu
Nini? = Vitu

Jifunze

Wapi? = Sehemu / Mahali

SHERIA YA HERUFI KUBWA

Majina ya watu siku zote huanza na herufi kubwa

Jina langu ni Yahaya

Majina ya nchi siku zote huanza na herufi kubwa
Nimetokea Tanzania, lakini ninaishi Marekani

Miji siku zote inaanza na herufi kubwa
Nimekulia Shinyanga

Utaifa siku zote unaanza na herufi kubwa
Mimi ni Mtanzania

Hii ni nchi gani?
Tanzania blank map

Hii ni Kenya?

Hapana hii ni Tanzania

Tanzania iko Asia?
Hapana ipo Afrika

Ni mji gani mkuu wa Tanzania?

Mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma

Hapa ni wapi?
Zanzibar

Zanzibar ipo Amerika?

Hapana Zanzibar ipo Tanzania

Swali:
Zanzibar ni nchi?
Jibu:
Hapana Zanzibar sio nchi, Zanzibar ni mji

Tanzania ni mji?
Hapana Tanzania si mji, Tanzania ni nchi

Dar es Salaam ni mji mkuu wa Tanzania?
Hapana Dodoma ndio mji mkuu wa Tanzania

Huyu ni nani?

Huyu ni Rais wa kwanza wa Tanzania

Jina lake nani?
Jualius Kambarage Nyerere

Ametokea wapi?
Tanzania

Nyerere

 
Leave a comment

Posted by on June 30, 2013 in Swahili Classes

 

Introducing yourself

Kujitambulisha

 
Leave a comment

Posted by on June 26, 2013 in Swahili Quiz

 

Tags:

Greeting vocaburary

 
Leave a comment

Posted by on June 23, 2013 in Vocaburary

 

Salamu!

 
Leave a comment

Posted by on June 23, 2013 in Swahili Quiz